Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Juni 2017

Charles Haule: Huyu mtoto ni beki mzuri sana

Kati ya watoto wenye vipaji vya soka hapa kanisani, Charles ni mmoja wao. Ni beki wa kati (central defender) mzuri sana mwenye nguvu, akili, kujiamini na kujituma pia. Amekuwa muhimili tegemeo kwenye timu yetu hasa katika safu ya ulinzi. Mungu ambariki asonge mbele zaidi katika soka.

0 maoni:

Chapisha Maoni