Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Juni 2017

Picha 5: Fr. Johnson Lameck ndiye Kasisi wetu mpya wa Mtaa

Hatimaye mrithi wa Padre Meshack Malilo ajitambulisha rasmi kwenye ibada ya leo, ni Padre Johnson Lameck (pichani juu) toka Mtakatifu Albano - Upanga. Yeye ndiye atakayekuwa Kasisi wa Mtaa wetu wa Mtakatifu Mathayo - Majohe akichukua nafasi ya Padre Meshack Malilo. Mungu amtangulie katika huduma yake hapa Mtaani.
Chini ni picha zaidi za Padre Johnson

 Akisalimiana na waumini mwisho wa ibada
 Upendo kwa watoto
 Upendo kwa watoto
Akijadili jambo na Mzee Pilla

0 maoni:

Chapisha Maoni