Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 11 Juni 2017

Jipatie AUDIO CD ya Sinai Kwaya ubarikiwe kwa njia ya uimbaji

Sinai Kwaya toka Kanisa Anglikana Mtakatifu Aidano-Karakata wamerekodi Audio CD yao ambayo wanaiuza Tsh 5,000 tu. Jipatie Nakala yako ujifunze neno la Bwana kwa njia ya uimbaji na Utabarikiwa. Wasiliana na Katibu Msaidizi wa Mtakatifu Mathayo (+255 755 933 529 ) ili ukupe muongozo wa kuipata CD hiyo

0 maoni:

Chapisha Maoni