Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 11 Juni 2017

Kamati ya Ujenzi wa kanisa jipya yaanza vipimo vya awali

Hakika hali hii inazidi kututia moyo, tukiamini kanisa jipya litasimama ndani ya muda mfupi kwa uwezo wa Mungu. Leo kamati ya ujenzi ilifanya vipimo vya awali ili kufahamu upana na urefu wa kanisa hilo jipya. Vipimo hivyo vitapelekwa kwa mtaalamu wa michoro ya majengo ili aanze kuchora ramani ya kanisa hilo.

Pichani juu ni Katibu wa Kanisa John Mwimbe akijadili juu ya upimaji huo na wajumbe wa kamati ya ujenzi.
0 maoni:

Chapisha Maoni