Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 25 Juni 2017

Padre Johnson afanya maboresho ya kipengele cha "Wimbo Niupendao"


Leo Padre Johnson Lameck amefanya maboresho ya kipengele cha "Wimbo Niupendao" kama ifuatavyo:-
  1. Familia husika inatakiwa kujiandaa kikamilifu ili iweze kuimba wimbo waupendao katika njia ya kumpendeza Mungu.
  2. Itakuwa ni siku ya familia husika kumshukuru Mungu na pia kumtolea sadaka itakayompendeza.
  3. Wiki zima waumini watatakiwa kuiombewa familia ambayo itaimba jumapili itakayofuata. Pia baada ya kuimba itaombewa madhabahuni.
  4. Familia husika inaruhisiwa kualika ndugu, na marafiki toka sehemu mbalimbali ili waje kushiriki pamoja nao katika siku yao ya kuimba wimbo waupendao0 maoni:

Chapisha Maoni