Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 11 Juni 2017

Picha 10: Sinai Kwaya toka Karakata wawasha moto wa Injili Majohe

Leo tulitembelewa na Sinai Kwaya toka Mtakatifu Aidano-Karakata. Hakika tumebarikiwa sana na uimbaji wao, pia uwezo wao wa kumchezea Bwana. Mungu awabariki sana na tunawakaribisha tena.


0 maoni:

Chapisha Maoni