Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Juni 2017

Picha 7: Mawaidha kabla ya mchezo kuanza

Kabla ya mchezo kuanza, timu zilipata mawaidha toka kwa viongozi wakisisitiza mchezo wa kiungwana. Pichani juu ni Lucas Raphael ambaye Mwenyekiti msaidizi wa Tayo hapa Mtaa wa Mt. Mathayo akisema machache kabla ya mchezo kuanza. Pia Lucas alikuwa mwamuzi wa mchezo wa leo.
 Mwinjilisti Mshuza toka Karakata akizungumza machache kabla ya mchezo
 Mwinjilisti Haule kushoto wa Mt.Mathayo akizungumza machache kabla ya mchezo kuanza
 Sehemu waumini wa Karakata waliofika toka Karakata
 Mwinjilisti Mshuza akiongoza sala kabla ya mchezo
Wachezaji wakisikiliza mawaidha kabla ya mchezo

0 maoni:

Chapisha Maoni