Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Juni 2017

Picha 9: Matukio nje ya uwanja

 Wadada wa Sayuni Kwaya walikuwepo kuwashangilia kaka zao
Emma kulia na Kanisius wakifuatilia mchezo

Mama Dismas wa pili toka kushoto akiwa na akina mama wageni toka Karakata nje ya uwanja

Mshuza baada ya kucheza kwa dakika chache na kutoka
Viongozi
Mwinjilisti Mshuza kushoto na Mwinjilisti Mrope
Dismas kushoto baada ya kutoka uwanjani akipoozwa na mkewe hahahaaaa, kulia ni Kanisius

0 maoni:

Chapisha Maoni