Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Juni 2017

Picha 9:Tumefungwa 2-0 na Karakata kwa taaaaaaaabu sana

Leo katika uwanja wa KKKT-Majohe kulikuwa na mchezo mkali wa soka kati ya timu ya Kanisa Anglikana Mtakatifu Mathayo-Majohe dhidi ya timu toka Karakata kwa Mwinjilisti Mshuza. Katika mchezo huo, timu ya Karakata imeshinda 2-0 na kuwafanya wenyeji kutoka uwanjani vichwa chini. Zifuatazo ni picha zaidi za matukio ya uwanjani. Mchezo ulikuwa ni wa kushambuliana kwa pande zote mbili lakini karakata walifanikiwa kuzitumia vema nafasi zao mbili na kufanikiwa kupata magoli hayo mawili, huku kosakosa upande wa Majohe zikitawala hadi mwisho wa mchezo.
 

0 maoni:

Chapisha Maoni