Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 16 Julai 2017

1,500,000/= zahitajika ili kufanikisha kupata michoro(ramani) ya Kanisa jipya

Wakristo wote tunaombwa kujitoa katika kuchangia fedha za michoro (ramani) ya kanisa jipya. Fedha hizo zinahitajika mapema iwezekanavyo. Pichani Padre Johnson , Mwimbe (Katibu) na Mzee George Lugendo kushoto wakipokea ahadi toka kwa waumini. Mungu atutangulie katika kufanikisha hili, Amina.

0 maoni:

Chapisha Maoni