Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 9 Julai 2017

Familia ya John Mwimbe yamshukuru Mungu

Pichani ni John Mwimbe (Katibu wa kanisa) na mkewe Bertha Mwimbe wakiimba wimbo waupendao. Tendo hilo lilienda sambamba na kumshukuru Mungu kwa mambo mengi aliyowatetendea katika maisha yao. Hakika waliutendea haki wimbo namba 330 kwa kuuimba kwa ustadi mkubwa. Mungu awabariki sana.
 Wakipata baraka toka kwa Fr. Johnson Lameck huku wakisindizwa na baadhi ya waumini

0 maoni:

Chapisha Maoni