Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 9 Julai 2017

Familia ya Mzuri yamkumbuka mpendwa wao Mzee Joseph Mzuri

Leo ibada ya pili familia ya Mzuri imemkumbuka mpendwa wao Mzee Joseph Mzuri aliyezaliwa zaliwa tarehe 20/4/1937 na kutwaliwa na Mungu tarehe 7/7/2011. Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahala pema peponi, Amina.


0 maoni:

Chapisha Maoni