Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 30 Julai 2017

Jinsi Bibi Winnie alivyoguswa na msiba wa Mama Ndifwa.

Bibi Winnie akiwa na majonzi makubwa baada ya kupata taarifa za msiba wa mama mzazi wa Nelson Ndifwa (katibu Kigango cha Mt. Mathia-Viwege). Bibi Winnie alieleza kuwa wamekuwa marafiki na marehemu (Helena) toka wakiwa watoto huko Manda, Nyasa. Mama Ndifwa alifariki jana saa 3 usiku. Msiba upo Viwege nyumbani kwa Nelson Ndifwa. Mungu amlaze pema peponi Mama Ndifwa.

0 maoni:

Chapisha Maoni