Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 23 Julai 2017

Picha 5: Brother Otto Chiduo akihubiri ibada ya pili leo

Brother Otto Chiduo pichani ndiye aliyetulisha neno la Bwana leo. Hakika tulibarikiwa sana na mahubiri yake ambayo yalilenga kwenye neno kuu "Kumpenda Mungu kuliko vyote". Licha ya kumtumikia Bwana, pia ana utaalam wa sanaa kama kutengeneza nembo (logo). Yeye ndiye aliyetengeneza nembo ya Tayo jimbo la Tanzania.Akimsimamia Dinah asome mstari kwenye Biblia

0 maoni:

Chapisha Maoni