Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 29 Julai 2017

Picha 8: Kumbe unene wa Elikana haumzuii kumchezea Bwana kwa bidii

Hakika kwenye mkesha wa leo Elikana ameonesha kulimudu vilivyo umbo lake alipokuwa akicheza. Ni mara yake ya kwanza kuonesha uwezo wake wa kucheza akiwa na umbo kubwa. Kabla ya hapo, alikuwa akicheza sana kipindi akiwa mwembamba. Kumbe pamoja na kuwa na kitambi bado ana uwezo wa kumchezea Bwana kwa bidii. Abarikiwe sana 0 maoni:

Chapisha Maoni