Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 29 Julai 2017

Picha 8: Mkesha wafana


Mkesha wa leo umeisha salama saa 11:00 alfajiri. Pichani juu ni Padre Johnson Lameck akitoa neno la utangulizi kabla ya kuendelea na mkesha ambao ulizingatia maombi yafuatayo:

-Kuombea Harambee ya Ujenzi wa Kanisa
-Kuombea Dayosisi ya Dar es Salaam
-Kuombea Taifa la Tanzania
-Kuombea Familia zetu
-Kuombea uchumi/utoaji
-Kukiombea Kigango cha Viwege
Kusifu
Kusifu
Kusifu
Kuabudu
Kuabudu

Kuabudu
Waumini


0 maoni:

Chapisha Maoni