Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumanne, 1 Agosti 2017

Msiba wa Mama Helena Ndifwa: Kuweka mashada kaburini (picha 12)

Nyumba ya milele aliyopumzishwa mama Helana Ndifwa ikiwa imepambwa kwa maua. Bwana alitoa na sasa ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Mtoto mkubwa wa marehemu akitoka kuweka shada la maua
Mtoto wa marehemu, John Ndifwa na mkewe wakiweka shada la maua
Mtoto wa marehemu, Nelson Ndifwa na mkewe wakiweka shada la maua
Wajukuu wakiweka shada la maua kaburini kwa bibi yao


Samwel Haule na Mzee Mapana wakiweka shada la maua kaburini


Padre Johnson na Chalo wakiweka shada la maua
Mwinjilisti Mrope na Haule wakiweka shada la maua


0 maoni:

Chapisha Maoni