Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumanne, 1 Agosti 2017

Msiba wa Mama Helena Ndifwa: Makaburini (Picha 13)

Makaburi ya kwa Mpemba-Viwege ndipo alipopumzishwa Mama yetu Helena Ndifwa. Pichani juu ni umati wa watu waliohudhuria kwenye mazishi.
Aliyefunikwa na kanga pichani juu ni mke wa Nelson Ndifwa akiwa na majonzi makubwa kwa kuondokewa na mama mkwe wake.Kijana aliyekaa chini akiwa na majonzi ni mjukuu wa marehemu. Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki cha majonzi.
Sanduku likitolewa kwenye gari kupelekwa kaburini
Sanduku likiwa ndani ya kaburi
Mtoto wa marehemu, Nelson Ndifwa akiweka udongo kaburini
Mtoto wa marehemu, John Ndifwa ambaye ni pacha wa Nelson Ndifwa akiweka udongo kaburini.

Wajukuu wakimzika bibi yao
John Mwimbe (Katibu kanisa Anglikana Mt. Mathayo - Majohe) mwenye koleo rangi ya bluu akishiriki kikamilifu kumzika Mama Helena Ndifwa pamoja na waombolezaji wengine.

0 maoni:

Chapisha Maoni