Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumanne, 1 Agosti 2017

Msiba wa Mama Helena Ndifwa: Baadhi ya matukio ya nyumbani (picha 7)

Hapa ni nyumbani kwa Nelson Ndifwa (mtoto wa marehemu) ambapo ndipo misa ya msiba wa mama Helena Ndifwa ilipofanyika. Pichani juu ni wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu.Mama Ndifwa alifariki tarehe 29/07/2017 saa 3 usiku
Nelson Ndifwa akisoma historia ya marehemu
Waombolezaji
Padre Johnson Lameck wa kanisa Anglikana Mt. Mathayo-Majohe akisema neno msibani
  Waombolezaji
Waombolezaji wakienda kutoa heshima za mwisho
Meza kuu, toka kushoto ni Mwinjilisti Haule, Padre Johnson Lameck, Padre Patrick Chalo na Mwinjilisti Sospeter Mrope

0 maoni:

Chapisha Maoni