Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 6 Agosti 2017

Picha 3: Wanajumuiya ya Mtakatifu Yakobo wawategemeza watumishi

Leo ilikuwa zamu ya Jumuiya ya Mtakatifu Yakobo kuwategemeza watumishi. Pichani juu ni vitu ambavyo walivitoa kwaajili ya watumishi. Mungu awabariki sana.
Wanajumuiya wakiingia na sadaka zao za kuwategemeza watumishi
Wanajumuiya wakipata maneno ya baraka toka kwa Padre Johnson Lameck

0 maoni:

Chapisha Maoni