Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 24 Septemba 2017

Padre Patrick Chalo kuagwa tarehe 26 Nov 2017

 
Padre Patrick Challo pichani ndiye alikuwa Padre wa Mtaa wetu (Anglikana mtakatifu Mathayo-Majohe) kwa kipindi cha takribani miaka mitatu hadi tarehe 17 April 2016 alipotuaga rasmi. Uongozi wa Mtaa na waumini tutamuaga rasmi tarehe 26 Nov 2017 hapa Mtaani kwetu, ambayo pia ni sikukuu ya watoto hapa kanisani. Waumini wanaombwa wajiandae kikamilifu kwa kuandaa zawadi nono kufanikisha kumuaga Padre Challo vema ukizingatia ameishi nasi vizuri kwa kipindi chote alichohudumu hapa.

Bofya HAPA kutazama video ya Padre Challo na Mkewe walipokuwa wakituaga tarehe 17 April 2016

0 maoni:

Chapisha Maoni