Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 3 Septemba 2017

Picha 6: Baraka za mitihani kwa wanafunzi wa darasa la 7


Wanafunzi wa darasa la 7 watakaoanza mitihani yao ya kumalinza elimu ya msingi tarehe 6 Septemba 2017 wakipata baraka toka kwa Padre Johnson Lameck ibada ya pili leo. Mungu awatangulie wanafunzi hawa pamoja na wengine wote Tanzania nzima wakafanye vizuri kwenye mitihani hiyo. Amina


 


0 maoni:

Chapisha Maoni