Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 10 Septemba 2017

Picha 6: Jumuiya ya Mt. Yakobo wakabidhiwa kikombe na mbuzi wao

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mtakatifu Yakobo, Stephano Mlanga kushoto akipokea kombe la ushindi leo toka kwa Padre Johnson Lameck kwa kuwa Jumuiya iliyoibuka kinara kwa kumtolea Mungu zaidi ya Jumuiya nyingine saba kwenye siku ya Harambee tarehe 27/08/2017. Jumuiya hiyo ya Yakobo ilifanikiwa kuvuka lengo la Tsh. 2,000,000 kiasi ambacho jumuiya nyingine zilishindwa kukifikia. Mungu azidi kuibariki jumuiya ya Yakobo pamoja na jumuiya nyingine ili ziweze kuibuka vinara kwenye harambee zijazo. Amina
Mwenyekiti Stephano Mlanga akipokea zawadi ya mbuzi toka kwa Padre Johnson Lameck
Padre Lameck akisalimiana na baadhi ya wana Jumuiya ya Mt. Yakobo

Mwenyekiti wa Mt. Yakobo, Stephano Mlanga akitoa neno lake

Mwenyekiti wa Mt. Yakobo, Stephano Mlanga akinyanyua kombe juu kwa furaha

Padre Johnson Lameck akisema machache


0 maoni:

Chapisha Maoni