Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 3 Septemba 2017

Picha 6: Mtoto Ivan abatizwa

Kushoto ni katibu wa kanisa John Mwimbe ambaye ni baba wa ubatizo wa mtoto Ivan aliyembeba, akifuatiwa na wazazi wa Ivan. Kulia ni mama wa ubatizo wa Ivan (Mama Mwimbe). Mtoto Ivan amebatizwa leo na Padre Johnson Lameck ibada ya pili hapa kanisani. Tunamuomba Mungu amlinde mtoto Ivan katika makuzi yake.

0 maoni:

Chapisha Maoni