Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 17 Septemba 2017

Tshirts tunazotakiwa kuvaa kwenye sikukuu zijazo karibuni

Hizi ni tshirts ambazo waumini tutakiwa kuvaa kwenye sikukuu ya Mtakatifu Mathayo (1/10/2017), sikukuu ya watoto (26/11/2017) na sikukuu ya Mavuno ya Mtaa (3/12/2017). Kushoto ni tshirt ya watu wazima ambayo itauzwa sh. 15,000 na kulia ni tshirt ya watoto ambayo itauzwa sh. 10,000. Wasiliana na Katibu (John Mwimbe, 0715685211) kwa taarifa zaidi.

0 maoni:

Chapisha Maoni