Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 15 Oktoba 2017

Jipatie Tshirts za siku ya Mavuno


Pichani ni tshirts ambazo waumini wote tutatakiwa kuvaa kwenye sikukuu ya Mavuno tarehe 3/12/2017 hapa mtaani kwetu. Tshirt za wakubwa ni sh. 10,000 na za watoto ni sh. 8,000. Wasiliana na Katibu wa kanisa, John Mwimbe (0715685211) kujipatia tshirts hizo.

0 maoni:

Chapisha Maoni