Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 1 Oktoba 2017

Mwinjilisti Haule ashinda mnada wa mbuzi lakini ....

Mwinjilisti Haule kulia akikabidhiwa mbuzi na Padre Johnson baada ya kushinda kwenye mnada wa kumnadi mbuzi huyo. Lakini Mwinjilisti Haule aliamua kumtoa sadaka tena mbuzi huyo. Hivyo mnada mwingine wa kumnadi mbuzi huyo utafanyika tena hapo baadae. Ikumbukwe kwamba huyu ndiye yule mbuzi ambaye walikabidhiwa jumuiya ya Mt. Yakobo tarehe 10/09/2017 kwa kuwa Jumuiya iliyoibuka kinara kwa kumtolea Mungu zaidi ya Jumuiya nyingine saba kwenye siku ya Harambee tarehe 27/08/2017.0 maoni:

Chapisha Maoni