Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 1 Oktoba 2017

Picha 15: Waumini wakilishwa keki na Padre Johnson

Katika kuadhimisha sikukuu ya Mt. Mathayo hapa Mtaani, jumuiya ya Mt. Luka waliandaa keki kama ishara ya kuadhimisha siku hii ya Mathayo. Padre Johnson Lameck ndiye aliyekata keki hiyo na kuwalisha baadhi ya waumini.
Padre Johnson akikata keki
Padre Johnson alianza kwa kujilisha mwenyewe
Katibu wa kanisa (John Mwimbe) akilishwa keki
Mama Mwimbe akilishwa keki
Mhazini wa mkuu wa kanisa, Simon Semaganga akilishwa keki
Mshauri wa Padre, Mzee Pilla akilishwa keki
Mama Mwinjilisti Haule akilishwa keki
Mtoto wa Katibu John Mwimbe akilishwa keki
 
Waumini wakiwa kwenye mstari wa kulishwa keki
Uinjilisti kwaya wakiwa kwenye mstari wa kulishwa keki

Mwinjilisti Sospeter Mrope wa Kigango cha Mtakatifu Mathiiya-Viwege akilishwa keki

0 maoni:

Chapisha Maoni