Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 1 Oktoba 2017

Picha 5: Wagawa chakula na vinywaji wakiwa makini na kazi yao

Pongezi kwa wahusika wote waliogawa chakula na vinywaji kwa umakini mkubwa kuhakikisha watu wote wanapata kwenye sherehe za kuadhimisha sikukuu ya Mtakatifu Mathayo hapa mtaani. Pongezi kwao katika hili na Mungu awabariki sana.

Maoni 1 :