Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 1 Oktoba 2017

Picha 6: Sikukuu ya Mt. Mathayo: Jumuiya ya Mt. Luka watia fora kwenye zawadi

Katika kuadhimisha sikukuu ya Mtakatifu Mathayo hapa mtaani leo, jumuiya ya Mtakatifu Luka imetia fora kwenye utoaji wa zawadi. Walitoa viti sita, fedha na keki ambayo waumini walilishwa kwa kuchangia sh 500 kwa kichwa, kiasi kilichopatikana walitoa sadaka. Hakika wamefanya jambo jema. Mungu awabariki sana

Kulia ni Mwenyekiti wa jumuiya ya Mt. Luka (Mama Mwimbe) akiwaongoza wanajumuiya wenzake kupeleka viti mbele.

Padre Johnson Lameck kulia akiwa amekalia viti hivyo pamoja na Mama Kalaghe
Mama Mwimbe (Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mt. Luka) akikabidhi risiti ya viti na Fedha kwa Padre.
Wanajumuiya wa Mt. Luka


0 maoni:

Chapisha Maoni