Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Ijumaa, 10 Novemba 2017

Lifahamu kanisa kubwa zaidi Duniani

Muonekano wa Kanisa Katoliki - Mtakatifu Peter Basilica usiku

Kanisa Katoliki - Mtakatifu Peter Basilica lililopo Italia mji wa Vatican ndilo kanisa kubwa zaidi Duniani lenye ukubwa wa mita za mraba 15,160 (kwa ndani), na ukubwa wa mita za mraba 21,095 (kwa nje). Ukubwa huo wa ndani ni takribani sawa na ekari 4, na ukubwa wanje ni takribani sawa na ekari 5. Waumizi zaidi ya 60,000 wanaweza kuketi ndani ya kanisa hilo kwa wakati mmoja. Kanisa hilo lilijengwa karne ya 15.0 maoni:

Chapisha Maoni