Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 19 Novemba 2017

Picha 10: Hakika Sayuni Kwaya walipendeza kwenye uzinduzi wa 'Audio Album' leo

Sayuni kwaya ya hapa mtaani kabla ya kuingia ndani ya kanisa kufanya uzinduzi wa 'Audio Album' yao ya pili yenye nyimbo 10 leo
Wakiwa ndani ya kanisa wakijiandaa kuimba wimbo 'Heri walio kamili' ambao umebeba jina la album
 Adela akiongoza jahazi la Sayuni Kwaya


 Frank kusho na Allen wakifanya yao
 Mwalimu wa Kwaya, Mpapi akicheza na wanafunzi wakeMaoni 2 :