Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 26 Novemba 2017

Picha 12: Ziara ya watoto yatima toka Buza hapa mtaani yafana

Pichani juu ni watoto wa Kituo cha Yatima Buza Dar es Salaam wakijitambulisha mbele ya waumni walipofanya ziara hapa mataani kuja kuwaunga mkono watoto wenzao ambao leo walikuwa wakisheherekea sikukuu yao watoto. Watoto yatima hao waliongozana na mlezi wa Sista Lucy (pichani chini)


Padre Patrick Challo wa Kanisa Anglikana Mtakatifu Augustino-Kisukuru akimlisha keki mmoja wa watoto yatima walipofanya ziara yao hapa kanisani. Pia Padre Challo aliagwa rasmi leo baada ya kutumika hapa kama Kasisi wa mtaa kwa takribani miaka mitatu
Sista Lucy akipokea zawadi toka kwa Padre Johnson Lameck ambaye ni kasisi wa hapa mtaani
Sista Lucy akipokea zawadi toka kwa mwakilishi toka Kigango cha Mtakatifu Mathiya - Viwege
Baadhi ya zawadi kwa watoto yatima
Sista Lucy akikabidhiwa zawadi na Padre Johnson
Mama Njama kushoto akipeana mkono na Sista Lucy wakati wa kumkabidhi zawadi
Sista Lucy akishukuru
Sista Lucy akiwa na baadhi ya waumini
Ndaison (katibu msaidizi wa hapa mtaani) akiwa na watoto toka Buza kwenye bus kabla ya safari ya kurudi Buza kuanza
Watoto wakiwa kwenye gari tayari kwa safari kurudi Buza

MUNGU AWABARIKI SANA NA KARIBUNI TENA HAPA MTAANI.
0 maoni:

Chapisha Maoni