Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 26 Novemba 2017

Picha 28: Ni wakati wa kuitunza familia ya Padre Challo siku ya kumuaga

Leo ilikuwa ni siku ya kumuaga rasmi Padre Patrick Challo pamoja familia yake kwa ujumla kwa baada ya kutumika katika Mtaa huu kama kasisi mkuu kwa takribani miaka mitatu. Tukio hili liliambatana na sikukuu ya watoto hapa mtaani. Vikundi mbalimbali na waumini kwa ujumla walipata nafasi ya kuitunza familia ya Padre Challo.
 
Bibi Mzuri akiongea baada ya Jumuiya ya Mt. Theresa kukabidhi zawadi
Mama Mapana akiongea kwa niaba ya Jumuiya ya Mt. Mariam baada ya kukabidhi zawadi yao
Pichani juu ni waumini toka kigango cha Mtakatifu Mathiya - Viwege wakiwawakilisha waumini wenzao.
Watoto wa 'Sunday School' wakimkabidhi Padre Challo zawadi kwa niaba ya wenzao


Waumini toka Kigango cha Viwege wakikabidhi zawadi yao
Mwinjilisti Mrope toka kigango cha Viwege akitoa neno fupi la kumshukuru Padre Challo kwa mengi aliyomfanyia yeye na kanisa kwa ujumlaLightness akiongea kwa niaba ya Sayuni kwaya
 Mlanga (Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mt. Yakobo) akikabidhi zawadi kwa Padre Challo


Mwinjilisti Haule akikabidhi zawadi yake kwa furaha akiashiria upendo alionao kwa Padre Challo na familia yake
Jumuiya ya Mt. Mariam wakikabidhi zawadi yao

Padre Johnson Lameck kulia akimkabidhi zawadi Padre Challo kwa niaba ya Halmashauri ya Mtaa
Washauri wakiongea machache
Picha ya pamoja na Viongozi wote wa Mtaa

0 maoni:

Chapisha Maoni