Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 26 Novemba 2017

Picha 3: Hakika keki huwachanganya akili sana watoto

Pichani ni mtoto Albert aliyezungushiwa duara jekundu akiwa amechanganyikiwa baada ya kukosa keki mwanzoni ambapo walitakiwa kula wawakilishi tu. Ni keki ambayo iliandaliwa kwenye sikukuu ya watoto hapa Mtaani iliyofanyika leo.
Hahahaaa mtazame mtoto hapo kushoto, ni kama anataka kuirukia hiyo keki. Hakika watoto huchanganyikiwa waonapo keki
Watazame watoto waliozungushiwa maduara mekundu hahahaaa


0 maoni:

Chapisha Maoni