Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 12 Novemba 2017

Picha 4: Muumini arudi kundini baada ya kuukana ukristo

Kushoto ni muumini akirudishwa kundini na Padre Johnson Lameck wa hapa mtaani. Muumini huyu aliukana ukristo lakini leo aliamua kurudi kundini na kuendelea na ukristo. Mungu ambariki sana kwa uamuzi huo.
 Muumini akielekea madhabahuni
Muumini aliyerudi kundini akiombewa na Padre Johnson, akisaidiwa na Mwinjilisti Haule kushoto na Mhudumu wa madhahuni (Charles)
Akipongezwa na Charles

0 maoni:

Chapisha Maoni