Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 19 Novemba 2017

Picha 7: Uzinduzi wa 'Audio Album' ya Sayuni Kwaya wafanaPadre Johnson Lameck kulia akifungua kasha lenye CD ya Sayuni Kwaya kwaajili ya uzinduzi. Kulia ni Adela Bokato mwenyeki wa kwaya hiyo.

Leo Sayuni Kwaya ya hapa mtaani imezindua ‘Audion CD album’ ya pili yenye jina ‘Heri Walio Kamili’. Albam hiyo ina nyimbo 10. Uzinduzi huu umefanywa na Padre Johnson Lameck wa hapa Mtaani. Hakika waumini wamejitoa kikamilifu katika kuwaunga mkono Sayuni Kwaya kwa hali na mali. CD hiyo inapatikana kwa Tsh. 5,000. Wasiliana na Katibu wa Mtaa, John Mwimbe (0715685211) ujipatie CD yako. Mungu awabariki sana.

 Pichani juu ni muonekano wa nje wa CD hiyo


 Lucy Mangwea akitoa ahadi ya kuinunua CD hiyo
Katibu wa Mtaa, John Mwimbe akitoa ahadi ya kuinunua CD hiyo
 Mzee Panduka akitoa ahadi ya kuinunua CD hiyo
 Katibu msaidizi, Ndaison Jacob akitoa ahadi ya kuinunua CD hiyo
 Mashauri wa Padre, Mzee Pilla akitoa ahadi ya kuinunua CD hiyo
Mzee Lugendo akitoa ahadi ya kuinunua CD hiyo

Shukrani ziwaendee wote walioahidi lakini picha zao hazikuonekana hapa, Mungu awabariki sana

Maoni 1 :

  1. Mungu awabariki wote walioweza kuchangia kununua CD

    JibuFuta