Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 19 Novemba 2017

Picha 8: Keki yanogesha uzinduzi wa 'Audio Album' ya Sayuni Kwaya

Hii ni keki iliyoandaliwa kwaajili ya uzinduzi wa 'Audio Album' ya Sayuni kwaya leo. Ilisaidia sana kwenye kutunisha mfuko wa kwaya kwani waumini walitakiwa kuchangia kabla ya kulishwa keki hiyo. Hata hivyo mwisho wa tukio watoto walipata fursa ya kulishwa keki hiyo bure na Padre Johson. Hakika keki hii ilinogesha tukio hili la uzinduzi.
 Padre Lameck akikata keki hiyo huku Mwinjilisti haule kulia akishuhudia
 Mshauri wa Padre, mzee Pilla akijiandaa kula keki
 Mwinjilisti Haule kulia akijilisha keki
 Mwinjilisti Haule kushoto akijiandaa kumlisha keki mkewe
 Allen kushoto ambaye ni mwimbaji wa Sayuni Kwaya akimlisha keki mama yake
Adela kulia ambaye ni mwimbaji wa Sayuni Kwaya akimlisha keki mama yake
Katibu wa Mtaa, John Mwimbe akilishwa keki na Padre Johnson

0 maoni:

Chapisha Maoni