Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 5 Novemba 2017

Picha 5: UMAKI wawategemeza watumishi kikamilifu

 UMAKI-Kanisa Anglikana Mt. Mathayo-Majohe wakiwa mbele na sadaka yao ya kuwategemeza watumishi wa madhabauni. Hakika wametenda lililo jema, Mungu awabariki sana.
Wakinyunyiziwa maji ya baraka na Padre Johnson Lameck
 
Sadaka ya kuwategemeza watumishi ambayo ilitolewa na UMAKI
Wawili kati ya wana UMAKI wa hapa Mt. Mathayo Majohe
Mama Haule, mmoja wa wana UMAKI hapa Mt. Mathayo Majohe

0 maoni:

Chapisha Maoni