Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 26 Novemba 2017

Video 2: Mema ya Padre Challo yamtoa chozi Mwinjilisti Mrope

Mwinjilisti Sospeter Mrope akitoa neno la shukrani kwa Padre Challo ambaye alihudumu naye hapa mtaani kwa ushirikiano mzuri. Leo ilikuwa ni siku rasmi ya kumuaga Padre Challo ambaye aliwahi kutumika hapa mtaani kama kasisi kwa takribani miaka mitatu.

Mwinjilisti Mrope akiimba kwa hisia kali juu ya mema ya Padre Challo kwake. Ashindwa kuyazuia machozi

Mwinjilisti Mrope akicheza kwa furaha wakati wa kwenda kumtunza Padre Challo na Mkewe

0 maoni:

Chapisha Maoni