Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 3 Desemba 2017

Hatimaye michoro ya ndani ya Kanisa jipya yakabidhiwa kwa Padre


Hatimaye leo kamati ya ujenzi wa kanisa jipya umemkabidhi Padre Johnson kulia michoro ya ndani (structural design) ya kanisa jipya hapa mtaani. Tukio hili la kuikabidhi michoro hiyo kwa Padre limeenda sambamba na sikukuu ya mavuno. Pichani juu ni mzee George Lugendo akiwaonesha waumini nakala za michoro hiyo. Wengine ni wanakamati hiyo ya ujenzi. Mungu awabariki wanakamati na waumini wote kwa ujumla. Amina

George Lugendo akimkabidhi Padre Johnson michoro hiyo
Padre Johnson akiongea na waumini baada ya kukabidhiwa michoro hiyo0 maoni:

Chapisha Maoni