Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 10 Desemba 2017

Harusi ya Agnes & Dismas: Mama NJAMA ashiriki kikamilifu

Katikati ni Mama Njama, ambaye alijitoa kwa hali na mali ili kushiriki kikamilifu kwenye harusi ya Agnes na Dismas. Hakika aliwawakilisha kikamilifu waumini wote wa hapa mtaani. Mungu ambariki sana Mama Njama.

Ni tarehe 8 Desemba 2017, siku muhimu sana kwa Dismas Hiza na Agnes Misai ambao walifunga ndoa takatifu kanisa Anglikana Mtakatifu Luka Nkuhungu Dodoma na kufuatiwa na tafrija kwenye ukumbi wa Cavilam, Iringa Road. Wasimamizi wa ndoa hiyo walikuwa John Mwimbe na mkewe Bertha Mwimbe. Mchungaji Mabichi wa kanisa hilo ndiye aliyefungisha ndoa hiyo. Mungu awabariki sana wanaondoa hawa.

0 maoni:

Chapisha Maoni