Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 10 Desemba 2017

Harusi ya Agnes & Dismas: Picha 11 za Bibi harusi peke yake, hakika alipendeza

Ni tarehe 8 Desemba 2017, siku muhimu sana kwa Dismas Hiza na Agnes Misai ambao walifunga ndoa takatifu kanisa Anglikana Mtakatifu Luka Nkuhungu Dodoma na kufuatiwa na tafrija kwenye ukumbi wa Cavilam, Iringa Road. Wasimamizi wa ndoa hiyo walikuwa John Mwimbe na mkewe Bertha Mwimbe. Mchungaji Mabichi wa kanisa hilo ndiye aliyefungisha ndoa hiyo. Mungu awabariki sana wanaondoa hawa.

 

 

 

0 maoni:

Chapisha Maoni