Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 10 Desemba 2017

Padre Chalo na mkewe washiriki kikamilifu kwenye harusi ya Agnes na Dismas huko Dodoma

Pichani ni Padre Chalo wa Kanisa Anglikana Mt. Augustino, Kisukulu, Dar es Salaam mwenye kipaza sauti akifungua kwa sala tafrija ya harusi kati ya Agnes na Dismas iliyofanyika Cavilam, Iringa Road, Dodoma. Kushoto kabisa ni mke wa Padre Chalo.

Ni tarehe 8 Desemba 2017, siku muhimu sana kwa Dismas Hiza na Agnes Misai ambao walifunga ndoa takatifu kanisa Anglikana Mtakatifu Luka Nkuhungu Dodoma na kufuatiwa na tafrija kwenye ukumbi wa Cavilam, Iringa Road. Wasimamizi wa ndoa hiyo walikuwa John Mwimbe na mkewe Bertha Mwimbe. Mchungaji Mabichi wa kanisa hilo ndiye aliyefungisha ndoa hiyo. Mungu awabariki sana wanaondoa hawa. 
  Padre Chalo akipunga mkono alipotambulishwa


0 maoni:

Chapisha Maoni