Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 3 Desemba 2017

Picha 10: Jumuiya ya Mt. Luka yatia fora kwenye mavuno

Leo ni sikukuu ya mavuno hapa mtaani. Katika kuadhimisha sikukuu hii, jumuiya nane za hapa mtaani zilimtolea Mungu mavuno yao na hatimaye Jumuiya ya Mtakatifu Luka kuibuka washindi kwa kumtolea Mungu mavuno zaidi ya jumuiya nyingine. Nafasi ya pili ilishikwa na Mt. Joseph na ya tatu ilishikwa na Mt. Cecylia. Pichani juu ni baadhi ya wanajumuiya ya Mt. Luka. Mungu atubariki sote, Amina.

  Baadhi ya wanajumuiya ya Mt. Luka wakiongozwa na mwenyekiti wao Bertha Mwimbe kulia

Jumuiya ya Mt. Joseph ambao walishika nafasi ya pili

Jumuiya ya Mt. Cecylia ambao walishika nafasi ya tatu

Jumuiya ya Mt. Cecylia ambao walishika nafasi ya tatu

  Jumuiya ya Mt. Yakobo

  Jumuiya ya Mt. Yohana


Jumuiya ya Mt. Marko

Jumuiya ya Mt. Theresa

Jumuiya ya Mt. Mariam

0 maoni:

Chapisha Maoni