Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumanne, 5 Desemba 2017

Picha 3: Kinachoendelea Dodoma kuhusu ndoa ya Dismas na Agnes

Dismas mwenye shati jeupe na Agnes mwenye tshirt nyeusi wakipokea mafunzisho ya ndoa toka kwa Mchungaji Mabichi wa Kanisa Anglikana Mtakatifu Luka Nkuhungu Dodoma, hapo ndipo ndoa inapotarajiwa kufungwa. Wanandoa hawa ni waumini wa hapa mtaani lakini ilimpendeza Mungu wakafunge ndoa Dodoma. Watakaosimamia ndoa hii ni John Mwimbe na Bertha Mwimbe wa hapa mtaani pia. Mungu awatangulie katika kufanikisha ndoa hii, Amina
 Hii ni madhabahu ya Kanisa Anglikana Mtakatifu Luka Nkuhungu Dodoma ambapo ndoa itafungwa
Muonekano wa nje wa Kanisa Anglikana Mtakatifu Luka Nkuhungu Dodoma

0 maoni:

Chapisha Maoni