Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 21 Januari 2018

Bahasha za Kupanda na Bwana zazinduliwa na kugawiwa kwa waumini

 Bahasha za kupanda na Bwana zimezinduliwa leo na kugawiwa kwa waumini. Kilele cha siku hiyo ni tarehe 25/3/2018. Mungu atubariki tuweze kupanda mbegu zilizo bora.
 Padre Johnson kushoto na Mwinjilisti Haule wakizindua Bahasha za kupanda na Bwana.
 Waumini wakichukua bahasha za kupanda na Bwana madhabahuni.
Waumini wakienda madhabahuni kuchukua bahasha za kupanda na Bwana

0 maoni:

Chapisha Maoni