Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 21 Januari 2018

Kuchelewa ibadani: Ibada ya kwanza yaanza na waumini WANNE tu

Hivi ndivyo ibada ya kwanza ilivyoanza leo kukiwa na waumini wanne tu (hao watatu wanaoonekana, pamoja na mpiga picha). Hakika yatupasa kuzingatia muda wa kuanza ibada kama vile tuzingatiavyo muda wa kutoka ibadani. Mungu atusaidie.
Waumini baada ya kuongezeka katikati ya ibada

0 maoni:

Chapisha Maoni