Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatano, 31 Januari 2018

Tumuwezeshe Mwinjilisti Haule akaongeze elimu

Mwinjilisti John Haule pichani juu ambaye anatumika hapa mtaani kwetu, ameamua kwenda kuongeza elimu yake ya dini. Ili kutimiza hilo ameomba waumini tumuunge mkono kwa kumchangia ada ambayo ni Tsh. 900,000/= kwa mwaka. Mungu atutie nguvu tuweze kumuwezesha mtumishi wetu, Amina.

0 maoni:

Chapisha Maoni