Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Februari 2018

Tazama kilichojiri kwenye ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Jackson Sosthenes

Kilichojiri kwenye ibada ya kuwekwa wakfu Askofu wa 5 (Jackson Sosthenes) wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam. Ibada hii imefanyika Kanisa Anglikana Mtakatifu Albano leo ikihudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli.

Video Kwa hisani ya Michuzi TV0 maoni:

Chapisha Maoni